GRADE 5 TEERM 3 KISWAHILI SCHEMES Dadisi
KES 30
|
Paystack (Cards & More)
Document Details
Document Preview
Word Editable SampleGRADE 5 KISWAHILI DADISI SCHEMES OF WORK TERM 3
1
2
1
Kuandika
Insha ya maelezo
Kufikia mwisho wa
mada ndogo,
mwanafunzi aweze:
a)kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali
b) kuandika insha ya maelezo kwa kufuata mtindo na muundo ufaao
c) kuchangamkia utunzi mzuri wenye ujumbe mahususi.
Mwanafunzi:
-atambue vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi
- ashiriki na wenzake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo
- aandike insha ya maelezo isiyopungua maneno 150 kwa kuzingatia msamiati unaohusu suala lengwa na kwa kuzingatia vigezo kama vile: ujumbe, tahajia, anwani, muundo, mtindo, mapambo ya lugha k.v methali, nahau, tashbihi, istiari n.k. alizojifunza awali
| 1 | |||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 | Kuandika | Insha ya maelezo | Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:a)kutambua vifungu vya maelezo vilivyoan... | Mwanafunzi:-atambue vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tara... | Je, ni mada gani inayoweza kuandikiwa insha za maelezo? | Vifaa vya kidijitali.vitabu.ChatiMabangoKiswahili Dadisi gredi 5 uk 137-138 | KuandikaKusomaKutambua vifunguKujibu maswaliKazi mradi | |||
| 2 | Kusikiliza na kuzungumza | Tashbihi: Tashbihi za tabia | Tashbihi: Tashbihi za tabia | Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:Kutaja tabia za viumbe mbalimbali.Kuelez... | Mwanafunzi:-Kutambua tabia za Wanyama mbalimbali k.v. kuongea kama kasuku,mlafi kama fi... | Ni tashbihi zipi hutumiwa kuelezea tabia? | Ni tashbihi zipi hutumiwa kuelezea tabia? | Chati.MabangoVyombo vya kidijitaliKiswahili Dadisi gredi 5 uk 139-140 | Kujadiliana.Kutunga setensi.Kueleza maanaKazi mradi | ||
| Tashbihi: Tashbihi za tabia | |||||||||||
| Ni tashbihi zipi hutumiwa kuelezea tabia? |
This document is professionally prepared and verified for Grade 5 (Upper Primary) • Term 3.
- Competency-driven teacher inquiry models
- Guiding questions for active learner engagement
- Real-life problem-solving applications
- Formative & summative assessment indicators
- Performance levels (Exceeding, Meeting, Approaching)
- Practical assessment task breakdowns