2026 Gredi 9 Kiswahili Karatsasi Ya Kwanza KJSEA TRIAL 1 202
Document Details
Document Preview
Word Editable SampleENOVATE AWAMU YA TATHMINI GREDI 9 2026
KISWAHILI KARATASI YA KWANZA
9
202
Jina: …………………………………………………..……….Nambari ya Tathmini ………………..……
Sahihi: …………………………………...Tarehe: …………………………………………
Muda: Saa 2
Maagizo Kwa Watahiniwa
Andika jina lako na nambari yako ya mtahiniwa katika nafasi zilizoachwa wazi hapo juu.
Andika jina la shule yako katika nafasi zilizoachwa wazi hapo juu.
Weka sahihi yako na uandike tarehe ya tathmini katika nafasi zilizoachwa wazi hapo juu.
SEHEMU A: UFAHAMU A (ALAMA 5)
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya binadamu na jamii. Wanafunzi hupata ujuzi, maadili na maarifa ambayo huwasaidia katika maisha yao ya baadaye. Elimu bora humfanya mtu kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi na kuchangia maendeleo ya jamii.
Hata hivyo, elimu hukabiliwa na changamoto kama ukosefu vya vifaa vya kujifunzia, walimu wachache na uvivu wa baadhi ya wanafunzi. Serikali na jamii hujitahidi kuboresha elimu kwa kujenga shule mpya na kutoa vitabu.
Elimu bora husababisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kila mwanafunzi anapaswa kuithamini elimu na kusoma kwa bidii.
This document is professionally prepared and verified for Grade 8 (Junior Secondary) • Term 1.
- Competency-driven teacher inquiry models
- Guiding questions for active learner engagement
- Real-life problem-solving applications
- Formative & summative assessment indicators
- Performance levels (Exceeding, Meeting, Approaching)
- Practical assessment task breakdowns