F3 KISW OPENER TERM 3 2026 MS
Document Details
Document Preview
Word Editable SampleKISWAHILI KIDATO CHA TATU
MUHULA WA TATU 2026
MWONGOZO WA KUSAHIHISHA
Kiswahili - Ufahamu, Ufupisho, Matumizi ya Lugha na Isimujamii
SEHEMU YA 1: UFAHAMU (Alama 15)
(a) Manufaa matatu ya safari kwa mujibu wa kifungu: (Alama 3 × 1 = 3)
Safari zilimwezesha kukutana na marafiki wapya.
Kupata fursa mpya zilizompa changamoto na chagizo.
Safari zilimwezesha kuandalia vyema mustakabali wake na wa mwanawe.
Zilimwezesha kutekeleza majukumu ya ajira/kazi yake iliyohitaji uwakilishi wake.
(Tathmini hoja 3 za kwanza zilizo sahihi)
(b) "Tuma amewajibika." Thibitisha kwa hoja tano: (Alama 5 × 1 = 5)
Alimpanga na kumtunza mtoto vizuri nyumbani (nyumba ilipangwa vizuri, vitabu vya mtoto vilipangwa tayari kwenda shuleni).
Alimpeleka mtoto hospitalini kupata dawa alipokuwa na joto jingi (aliugua).
Alipunguza kazi/hekaheka za nyumbani kabla ya mwajiri wake kuamka.
Alimwezesha mtoto kufanya kazi za shuleni na mamaye kupitia mtandao (Skype).
| Swali | Mada / Maagizo | Majibu Yaliyokadiriwa | Alama |
|---|---|---|---|
| (a) | Muundo wa Maneno | (i) K+K+I+K+I: Mbwawa, Shati, Ploti, Mpini, Nguo(ii) I+K+I+I: Aua, Owea, Eua, Aina | 2 |
| (b) | Silabi katika neno | cha-nga-m-ka (Silabi 4) | 1 |
| (c) | Majukumu ya viambishi | wa- : Nafsi ya tatu wingi / Ngeli (A-WA)-na- : Wakati uliopo-o- : Rejeshi (O-rejeshi)-j... | 2 |
| (d) | Aina za maneno | Yule : Kivumishi cha kuashiria / kionyeshimwingine : Kivumishi cha pekee | 2 |
This document is professionally prepared and verified for Form 3 (Secondary (8-4-4)) • Term 3.
- Competency-driven teacher inquiry models
- Guiding questions for active learner engagement
- Real-life problem-solving applications
- Formative & summative assessment indicators
- Performance levels (Exceeding, Meeting, Approaching)
- Practical assessment task breakdowns