GRADE 3 TERM 2 KISWAHILI LESSON PLANS
Document Details
Document Preview
Word Editable SampleMada ndogo: Msamiati Kusikiliza na kuzungumza Kusoma hadithi Sarufi
Matokeo maalumu yanayotarajiwa:
Mwanafunzi aweze:
Kuelezea maana ya mazingira, safi na chafu katika hadithi ili kuimarisha ufahamu.
Kutunga sentensi sahihi kwa kutumia maneno mazingira, safi na chafu ili kujieleza.
Kusoma hadithi ya Wanyama wapenda kazi kwa ufasaha na kuyajibu maswali kwa usahihi.
Kutoa vinyume vya vitenzi na atambue baadhi ya sentensi kwenye hadithi zilizo na vinyume vya vitenzi.
Kuchangamkia usomaji bora.
Maswali dadisi:
Je, wewe unapenda kufanya kazi gani ukiwa nyumbani?
Je, maana ya maneno mazingira, chafu na safi ni gani?
Je, Unafikiria hadithi ya wanyama wapenda kazi inahusu nini?
Umilisi wa kimsingi unaokuzwa: Mawasiliano na ushirikiano, hamu ya ujifunzaji Maadili: Uwajibikaji
Uhusiano na maswala, mtambuko: Masilahi ya wanyama
Nyenzo:
Tusome mwongozo wa mwalimu 3 uk. 1-2
| Shule | Gredi | Somo | Tarehe | Muda | Idadi ya wanafunzi |
|---|---|---|---|---|---|
| 3 | Kiswahili |
This document is professionally prepared and verified for Grade 3 (Lower Primary) • Term 2.
- Competency-driven teacher inquiry models
- Guiding questions for active learner engagement
- Real-life problem-solving applications
- Formative & summative assessment indicators
- Performance levels (Exceeding, Meeting, Approaching)
- Practical assessment task breakdowns