Grade 7 Kiswahili Pp1 Endterm 3 2026
KES 30
Complete your Grade 7
Other teachers who bought this also viewed these Grade 7 resources.
GRADE 7 TERM 3 SOCIAL STUDIES SCHEMES 2026
Grade 7 Rationalized Integrated Science Schemes Of Work Term 3
Grade 7 Rationalized Cre Schemes Of Work Term 3
GRADE 7 TERM 3 MATHEMATICS SCHEMES 2026
Document Details
Document Preview
Word Editable SampleTATHMINI YA SHULE YA JUNIATATHMINI YA MWISHO WA MUHULA WA 3GREDI YA 7 – KISWAHILI Muda: Saa 1 Dakika 40
TAARIFA ZA MWANAFUNZI
Jina: ________________________________________________Shule: ______________________
Nambari ya Tathmini: _____________________________________________ Tarehe: __________
Nambari ya Shule: ____________________________________________Sahihi: __________________
MAELEKEZO KWA WANAFUNZI
Andika jina lako, jina la shule yako na nambari yako ya mthani katika nafasi ulizoachiwa.
Andika tarehe,nambari ya shule yako kisa weka sahihi yako.
Soma kila swali kwa makini
Mtahiniwa ahakikishe kuwa kurasa zote kwenye kijitabu hiki zimepigwa chapa.
Jibu maswali yote katika kijitabu hiki.
SEHEMU A: UFAHAMU WA KUSOMA
Lugha ni chombo muhimu cha mawasiliano katika jamii. Kupitia lugha, watu huwasilisha mawazo, hisia na maarifa kwa wengine. Lugha pia husaidia jamii kuhifadhi mila, desturi na historia yake. Watoto wanapojifunza lugha yao vizuri, huweza kuelewana na watu wa familia na jamii kwa urahisi. Kwa hiyo, ni muhimu kuitumia lugha kwa usahihi na kuiheshimu.
1. Kulingana na kifungu, kazi mojawapo ya lugha ni ipi?
A. Kufanya watu wasielewane
B. Kuwasilisha mawazo na hisia
| Shamba | Ng'ombe | Mbuzi | Kondoo | Kuku |
|---|---|---|---|---|
| Amani | 12 | 8 | 5 | 10 |
| Baraka | 9 | 14 | 7 | 8 |
| Chui | 15 | 6 | 9 | 12 |
| Dunia | 7 | 10 | 6 | 9 |
This document is professionally prepared and verified for Grade 7 (Junior Secondary) • Term 3.
- Competency-driven teacher inquiry models
- Guiding questions for active learner engagement
- Real-life problem-solving applications
- Formative & summative assessment indicators
- Performance levels (Exceeding, Meeting, Approaching)
- Practical assessment task breakdowns