GRADE 10 LUGHA FINAL MARKING SCHEME
KES 45
|
Paystack (Cards & More)
Document Details
Document Preview
Word Editable SampleMWONGOZO WA KUSAHIHISHA KISWAHILI GRADE YA 10
Sehemu A: Insha (Alama 20)
Muundo
a) Anwani ya Mwandishi Pamoja na tarehe
b) Mtajo Kwa mfano, Kwa rafiki mpendwa
c) Utangulizi – aya moja, aeleze maana ya neno shinikizorika
d) Mwili - Hapa anaweza taja namna mbalimbali za Shinikizo
Mfano, Kutohudhuria vipindi, Kutumia dawa za kulevya, Kutozingatia usafi wa mwili na Mazingira, Kutoroka shuleni, Kuanzisha migomo Shuleni, Kutotii walimu, wazazi na wakubwa wao, Kujihusisha katika mapenzi ya mapema, n.k
*Namna ya Kukabiliana na Shinikizorika (Mwanafunzi ajikite hapa)
i) Kujitambua na Kuwa na msimamo thabiti
ii) Kuchagua marafiki wema wasiopotosha na kuepuka wale wabaya
iii) Kushirikiana na wazazi na walimu/ Kufuata ushauri wao
iv) Kujihusisha na shughuli mbalimbali zitakazohakikisha hapati
mwanya wa majaribu k.v michezo, drama na Muziki
v) Kutafuta ushauri mapema kutoka kwa walimu wanaohusika/ m(wa)geni m(waa)likwa/mtaalamu wa masuala ya ushauri nasaha
vi) Kuiga tabia chanya Kutoka kwa wanafunzi waliadumisha
This document is professionally prepared and verified for Grade 10 (Senior Secondary) • Term 3.
- Competency-driven teacher inquiry models
- Guiding questions for active learner engagement
- Real-life problem-solving applications
- Formative & summative assessment indicators
- Performance levels (Exceeding, Meeting, Approaching)
- Practical assessment task breakdowns