WEMA HAUOZI Setbook Guide 2026
Document Details
Document Preview
Word Editable SampleMWONGOZO WA WEMA HAUOZI GREDI 8
MWANDISHI : TIMOTHY .M. AREGE
April 17, 2024BW.BRIAN AMUKOYAO745171371/ YOUTUBE @ BW. BRIAN AMUKOYA( MAFU)April 17, 2024BW.BRIAN AMUKOYAO745171371/ YOUTUBE @ BW. BRIAN AMUKOYA( MAFU)April 17, 2024BW.BRIAN AMUKOYAO745171371/ YOUTUBE @ BW. BRIAN AMUKOYA( MAFU)April 17, 2024BW.BRIAN AMUKOYAO745171371/ YOUTUBE @ BW. BRIAN AMUKOYA( MAFU)
April 17, 2024
BW.BRIAN AMUKOYA
O745171371/ YOUTUBE @ BW. BRIAN AMUKOYA( MAFU)
April 17, 2024
BW.BRIAN AMUKOYA
O745171371/ YOUTUBE @ BW. BRIAN AMUKOYA( MAFU)
MWONGOZO WA WEMA HAUOZI GREDI 8
UTANGULIZI
Tamthilia ni utungo wa fasihi andishi ambao hutungwa ili kuwasilishwa jukwaani kwenye hadhira.
Matukio katika tamthilia hudhamiriwa kuonekana na kusikika au kuigizwa jukwaani, si kusomwa tu.
VIGEZO MUHIMU KATIKA UCHAMBUZI WA TAMTHILIA HII.
Dhamira /Lengo/Mintarafu/Kusudi : Ni jambo linalokusudiwa na mwandishi/ lengo kuu la mwandishi.
Maudhui : Jumla ya maswala yanayozungumziwa na mwandishi .
This document is professionally prepared and verified for Grade 8 (Junior Secondary) • Term 1.
- Competency-driven teacher inquiry models
- Guiding questions for active learner engagement
- Real-life problem-solving applications
- Formative & summative assessment indicators
- Performance levels (Exceeding, Meeting, Approaching)
- Practical assessment task breakdowns