Schemes of Work
New 1769369 Kiswahili Lugha Grade 10 Term III 2026
Document Details
Category:
Schemes of Work
Level:
Senior Secondary
Grade:
Grade 10
Term:
Term 3
Price:
KES 50
Format:
DOCX
Downloads:
1
Document Preview
Word Editable SamplePROFESA HUB SAMPLE
MAAZIMIO YA KAZI KISWAHILI LUGHA DARASA LA 10
MWAKA WA 2026 MUHULA WA III
WK
KIPINDI
MADA KUU
MADA NDOGO
SHABAHA
SHUGHULI ZA UFUNZAJI
MASWALI DADISI
NYENZO
TATHMINI
MAONI
1
1
JINSIA NA TAALUMA
Kusikiliza na Kuzungumza
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 | JINSIA NA TAALUMAKusikiliza na Kuzungumza | Kuzungumza kwa Kushawishi - Ushawishi kuhusu ukweli fulani | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze: Mwisho wa funzo,- Kueleza maana ya uzungumzaji... | Mwanafunzi aelekezwe:- Kueleza maana ya uzungumzaji wa kushawishi akishirikiana na wenz... | Je, mazungumzo ya kushawishi yana umuhimu gani katika jamii? | Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 10 uk. 138Vifaa vya kidijitaliChatiPicha | - Kutambua miktadha ya uzungumzaji wa kushawishi- Kuuliza na kujibu maswali- Kueleza ma... | |
| 2 | Kusoma | Ufupisho - Kifungu cha kupasha habari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze: Mwisho wa funzo,- Kueleza maana ya ufupisho il... | Mwanafunzi aelekezwe:- Kujadili na wenzake maana ya ufupisho- Kusoma kifungu cha kupash... | Ufupisho wa habari unachangia vipi katika mawasiliano? | Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 10 uk. 143Vifaa vya kidijitaliMagazetiMatini ya mwalimu | - Kutambua vipengele vya ufupisho- Kusoma kwa ufahamu- Kujibu maswali | ||
| 3 | Kuandika | Masimulizi kutokana na Picha | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze: Mwisho wa funzo,- Kueleza maana ya insha ya ma... | Mwanafunzi aelekezwe:- Kutazama picha mbalimbali zinazoonyesha watu katika taaluma tofa... | Kwa nini ni muhimu kujifunza kuandika insha ya masimulizi kuhusu picha? | Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 10 uk. 147Picha mbalimbaliChatiVifaa vya kidijitali | - Kutambua vipengele vya insha ya masimulizi- Kujadili picha- Kuandika vidokezo | ||
| 4 | Matumizi ya LughaKusikiliza na Kuzungumza | Vinyume - Vinyume vya nominoKuzungumza kwa Kushawishi - Kanuni za uzungumzaji wa kushaw... | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze: Mwisho wa funzo,- Kueleza maana ya kinyume cha... | Mwanafunzi aelekezwe:- Kutazama picha zinazoonyesha vinyume (k.v. mvulana-msichana)- Ku... | Je, vinyume vya nomino huchangia vipi katika mawasiliano? | Oxford Kiswahili Fasaha Gredi 10 uk. 140, 151Kadi manenoChatiPichaVifaa vya kidijitaliV... | - Kutambua vinyume vya nomino- Kuoanisha nomino na vinyume vyake- Kutunga sentensi |
Curriculum
CBC / CBE Kenya
Grade / Class
Grade 10
Term
Term 3
File Format
DOCX (Editable)
Profesa Hub Quality Guarantee: Every resource is verified for curriculum accuracy, correct strand alignments, lesson breakdowns, and complete teacher guidelines.
Kenyan CBC Curriculum Aligned (KICD Compliant)
This document is professionally prepared and verified for Grade 10 (Senior Secondary) • Term 3.
Key Inquiry Questions
- Competency-driven teacher inquiry models
- Guiding questions for active learner engagement
- Real-life problem-solving applications
Assessment Rubrics
- Formative & summative assessment indicators
- Performance levels (Exceeding, Meeting, Approaching)
- Practical assessment task breakdowns
100% Fully Editable
Print Ready & Clean Layout
Instant Delivery via Email & WhatsApp
Cart: KES 0
Pay & Checkout