Grade 8 Kiswahili Pp1 Endterm 3 2026
KES 30
Complete your Grade 8
Other teachers who bought this also viewed these Grade 8 resources.
Grade 8 Rationalized Mathematics Schemes Of Work Term 3
GRADE 8 TERM 3 PRETECHNICAL SCHEMES Mentor 2026
Grade 8 Rationalized Kiswahili Schemes Of Work Term 3
GRADE 8 TERM 3 CREATIVE SCHEMES Swim
Document Details
Document Preview
Word Editable SampleTATHMINI YA SHULE YA JUNIATATHMINI YA MWISHO WA MUHULA WA 3GREDI YA 8 – KISWAHILI Muda: Saa 1 Dakika 40
TAARIFA ZA MWANAFUNZI
Jina: ________________________________________________Shule: ______________________
Nambari ya Tathmini: _____________________________________________ Tarehe: __________
Nambari ya Shule: ____________________________________________Sahihi: __________________
MAELEKEZO KWA WANAFUNZI
Andika jina lako, jina la shule yako na nambari yako ya mthani katika nafasi ulizoachiwa.
Andika tarehe,nambari ya shule yako kisa weka sahihi yako.
Soma kila swali kwa makini
Mtahiniwa ahakikishe kuwa kurasa zote kwenye kijitabu hiki zimepigwa chapa.
Jibu maswali yote katika kijitabu hiki.
SEHEMU A: UFAHAMU WA KUSOMA
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 1 hadi 12.
Katika kijiji cha Mwangaza, vijana walianzisha bustani ya mboga karibu na mto. Mwanzoni, watu wengi walidhani kuwa mradi huo usingefaulu kwa sababu vijana walikuwa hawana fedha nyingi. Hata hivyo, vijana hao waligawana majukumu. Baadhi yao walitayarisha mashamba, wengine walitafuta mbegu bora, huku wengine wakisimamia umwagiliaji. Walitumia maji kwa uangalifu ili mto usikauke.Baada ya miezi kadhaa, bustani ilianza kutoa mazao mengi. Vijana waliuza sehemu ya mboga sokoni na kutumia mapato kununua vifaa zaidi. Pia waliweka sehemu ya fedha kama akiba. Mafanikio hayo yaliwahamasisha vijana wengine kujiunga na mradi.Mkuu wa kijiji aliwapongeza kwa kuwaonyesha kuwa kazi ya pamoja inaweza kuleta mabadiliko. Aliwasihi watunze mazingira na kuepuka kutumia kemikali ambazo zinaweza kuchafua maji. Vijana walikubaliana kuendelea na kilimo kinacholinda mazingira.
1. Ni jambo gani lililofanya mradi wa vijana uanze kufanikiwa?
A. Walipata mkopo mkubwa
This document is professionally prepared and verified for Grade 8 (Junior Secondary) • Term 3.
- Competency-driven teacher inquiry models
- Guiding questions for active learner engagement
- Real-life problem-solving applications
- Formative & summative assessment indicators
- Performance levels (Exceeding, Meeting, Approaching)
- Practical assessment task breakdowns