Schemes of Work

DOC GRADE 10 TERM 1 KISWAHILI FASIHI SCHEMES

Senior Secondary Grade 10 Term 1 0 views DOCX Editable KES 40
Live now: 2 people viewing this document
Ask on WhatsApp

KES 40

Instant download M-Pesa secured No account needed
You will receive an instant Lipa Na M-Pesa PIN prompt
Order on WhatsApp — Instant Delivery
or

Have an account? Login to prefill your details

M-PESA | Paystack (Cards & More)

Document Details

Category: Schemes of Work
Level: Senior Secondary
Grade: Grade 10
Term: Term 1
Price: KES 40
Format: DOCX
Total Views: 0

Document Preview

Word Editable Sample
PROFESA HUB SAMPLE
Microsoft Word Document (.docx) 100% Editable on Download
WikiKipindiMadaMada NdogoMatokeo Maalum YanayotarajiwaMaswali DadisiShughuli za UjifunzajiZana za KujifunziaTathminiMaoni
111.1 Fasihi Simulizi1.1.1 Utangulizi wa Fasihi SimuliziKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kueleza maana ya fasihi ili kuibainisha.Je, ni mambo yapi unayoyafahamu kuhusu fasihi simulizi?Mwanafunzi aelekezwe kueleza maana ya fasihi na fasihi simulizi.Mtaala wa KICD (2024) uk 1; KamusiMaswali na Majibu
2Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kufafanua sifa za fasihi simulizi.Mwanafunzi aelekezwe kutumia kifaa cha kidijitali kutafiti sifa za fasihi simulizi.Mtaala wa KICD (2024) uk 1; Vifaa vya kidijitaliUchunguzi
3Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kujadili umuhimu wa fasihi simulizi katika jamii.Je, fasihi simulizi ina umuhimu gani katika jamii?Mwanafunzi aelekezwe kushirikiana na wenzake kujadili umuhimu wa fasihi simulizi katika jamii.Mtaala wa KICD (2024) uk 1; Vitabu vya FasihiMajadiliano
4Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kuchangamkia fasihi simulizi katika jamii.Mwanafunzi aelekezwe kusikiliza kanda iliyorekodiwa kuhusu fasihi simulizi ili kufafanua sifa zake.Mtaala wa KICD (2024) uk 1; Kanda za sautiKazi ya Mradi
211.2 Ushairi1.2.1 Uainishaji wa MashairiKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kueleza maana ya ushairi ili kuupambanua.Ni mambo gani yanayokufanya utambue shairi kama utungo wa fasihi?Mwanafunzi aelekezwe kueleza maana ya ushairi.Mtaala wa KICD (2024) uk 3; Diwani za mashairiMaswali ya Mdomo
2Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kujadili sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi.Mwanafunzi aelekezwe kutafiti mtandaoni au katika matini andishi sifa za ushairi.Mtaala wa KICD (2024) uk 3; MtandaoMazoezi ya Kuandika
3Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kuchambua sifa za ushairi katika mashairi mbalimbali.Mwanafunzi aelekezwe kuchambua sifa za ushairi katika mashairi.Mtaala wa KICD (2024) uk 3; Mashairi teuleUchunguzi
41.3 Bunilizi1.3.1 Utangulizi wa BuniliziKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kueleza maana ya bunilizi ili kuibainisha.Ni aina gani za bunilizi ulizowahi kusoma?Mwanafunzi aelekezwe kueleza maana ya bunilizi.Mtaala wa KICD (2024) uk 5; Vitabu vya hadithiMaswali na Majibu
31Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kujadili aina za bunilizi ili kuzibainisha.Mwanafunzi aelekezwe kutafiti maktabani na kusakura mtandaoni ili kubainisha aina za bunilizi.Mtaala wa KICD (2024) uk 5; MaktabaRipoti ya Utafiti
2Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kujadili vipengele vya bunilizi.Mwanafunzi aelekezwe kushirikiana na wenzake kujadili vipengele vya bunilizi.Mtaala wa KICD (2024) uk 5; ChatiMajadiliano
3Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kuchangamkia usomaji wa bunilizi katika maisha ya kila siku.Kwa nini ni muhimu kusoma bunilizi?Mwanafunzi aelekezwe kusilikiliza aina mbalimbali za bunilizi zilizorekodiwa kwenye kinasa sauti.Mtaala wa KICD (2024) uk 5; Kinasa sautiUchunguzi
42.1 Fasihi Simulizi2.1.1 Hadithi (Hekaya na Hurafa)Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kueleza maana ya hadithi, hekaya na hurafa.Ni aina gani za hadithi za fasihi simulizi unazozijua?Mwanafunzi aelekezwe kueleza maana ya hekaya na hurafa.Mtaala wa KICD (2024) uk 7; Vitabu vya HadithiMaswali na Majibu
41Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kufafanua sifa za hekaya na hurafa.Mwanafunzi aelekezwe kufafanua sifa za hekaya na hurafa.Mtaala wa KICD (2024) uk 7; ChatiMazoezi
2Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kujadili umuhimu wa hekaya na hurafa katika jamii.Je, hadithi zina umuhimu gani katika jamii?Mwanafunzi aelekezwe kushirikiana na wenzake kujadili umuhimu wa hekaya na hurafa.Mtaala wa KICD (2024) uk 7; VideoMajadiliano
3Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kuwasilisha hekaya na hurafa akizingatia vipengele vya uwasilishaji.Mwanafunzi aelekezwe kuwawasilishia wenzake hekaya na hurafa.Mtaala wa KICD (2024) uk 7; Jukwaa darasaniUigizaji

+ 27 more rows in the full document — purchase to unlock.

Full Complete Document Available Instant download link sent to your email & phone immediately on payment confirmation.
Curriculum CBC / CBE Kenya
Grade / Class Grade 10
Term Term 1
File Format DOCX (Editable)
Profesa Hub Quality Guarantee: Every resource is verified for curriculum accuracy, correct strand alignments, lesson breakdowns, and complete teacher guidelines.
Kenyan CBC Curriculum Aligned (KICD Compliant)

This document is professionally prepared and verified for Grade 10 (Senior Secondary) • Term 1.

Key Inquiry Questions
  • Competency-driven teacher inquiry models
  • Guiding questions for active learner engagement
  • Real-life problem-solving applications
Assessment Rubrics
  • Formative & summative assessment indicators
  • Performance levels (Exceeding, Meeting, Approaching)
  • Practical assessment task breakdowns
100% Fully Editable Print Ready & Clean Layout Instant Delivery via Email & WhatsApp