Schemes of Work

DOC GRADE 10 TERM 1 KISWAHILI LUGHA SCHEMES

Senior Secondary Grade 10 Term 1 0 views DOCX Editable KES 40
Live now: 2 people viewing this document
Ask on WhatsApp

KES 40

Instant download M-Pesa secured No account needed
You will receive an instant Lipa Na M-Pesa PIN prompt
Order on WhatsApp — Instant Delivery
or

Have an account? Login to prefill your details

M-PESA | Paystack (Cards & More)

Document Details

Category: Schemes of Work
Level: Senior Secondary
Grade: Grade 10
Term: Term 1
Price: KES 40
Format: DOCX
Total Views: 0

Document Preview

Word Editable Sample
PROFESA HUB SAMPLE
Microsoft Word Document (.docx) 100% Editable on Download
WikiKipindiMadaMada NdogoMatokeo Maalum YanayotarajiwaMaswali DadisiShughuli za UjifunzajiZana za KujifunziaTathminiMaoni
111.0 Mikondo ya Fursa za Ajira1.1.1 Ufahamu wa KusikilizaKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kueleza maana ya ujumbe na fani katika matini.Je, ni mambo gani unayozingatia ili kutambua ujumbe na fani?Mwanafunzi aelekezwe kueleza maana ya ujumbe na fani katika matini.Mtaala wa KICD (2024) uk 1; Matini simuliziMaswali na Majibu
2KusikilizaKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kutabiri ujumbe wa matini simulizi.Mwanafunzi aelekezwe kutabiri ujumbe wa matini simulizi kwa kuzingatia anwani.Mtaala wa KICD (2024) uk 1; Anwani za hadithiUtabiri
3KusikilizaKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kutambua ujumbe katika matini simulizi.Mwanafunzi aelekezwe kusikiliza matini simulizi kuhusu suala lengwa na kutambua ujumbe.Mtaala wa KICD (2024) uk 1; Kanda za sautiUchunguzi
4KusikilizaKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kuchambua vipengele vya fani katika matini simulizi.Mwanafunzi aelekezwe kuchambua vipengele vya fani (k.v. msuko, mandhari) katika matini simulizi.Mtaala wa KICD (2024) uk 1; Chati ya faniMazoezi ya Kuandika
211.2.1 Kusoma kwa UfasahaKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kueleza maana ya kusoma kwa ufasaha.1. Unahitaji kuzingatia nini ili usome kwa ufasaha?Mwanafunzi aelekezwe kueleza maana ya kusoma kwa ufasaha na kujadili vipengele vya kuzingatia.Mtaala wa KICD (2024) uk 3; Vitabu vya hadithiMaswali ya Mdomo
2Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kusoma kifungu simulizi akizingatia matamshi bora.2. Kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?Mwanafunzi aelekezwe kusoma kifungu simulizi akizingatia matamshi bora.Mtaala wa KICD (2024) uk 3; Vifungu vya kusomaKusoma kwa Sauti
3Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kusoma kifungu simulizi akizingatia kasi ifaayo.Mwanafunzi aelekezwe kusoma kifungu simulizi akizingatia kasi ifaayo (maneno 120 kwa dakika).Mtaala wa KICD (2024) uk 3; Saa ya kupima mudaUchunguzi
4Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kusoma kifungu simulizi akizingatia kiimbo na viziada lugha.Mwanafunzi aelekezwe kusoma kifungu simulizi akizingatia kiimbo na viziada lugha na kujirekodi.Mtaala wa KICD (2024) uk 3; Vifaa vya kidijitaliKujirekodi
311.3.1 ViakifishiKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kueleza matumizi ya herufi kubwa na nukta.Kwa nini tunatumia alama za uakifishi?Mwanafunzi aelekezwe kueleza matumizi ya herufi kubwa na nukta na kuvitambua katika matini.Mtaala wa KICD (2024) uk 5; MatiniMaswali na Majibu
2ViakifishiKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kueleza matumizi ya kipumuo na alama za mtajo.Mwanafunzi aelekezwe kueleza matumizi ya kipumuo na alama za mtajo na kuvitambua katika matini.Mtaala wa KICD (2024) uk 5; MatiniUchunguzi
3ViakifishiKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kutumia ipasavyo viakifishi katika matini.Mwanafunzi aelekezwe kusahihisha sentensi au kifungu ambacho hakijatumia viakifishi ipasavyo.Mtaala wa KICD (2024) uk 5; Vifungu vyenye makosaKusahihisha
4ViakifishiKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia viakifishi lengwa.Mwanafunzi aelekezwe kutunga sentensi au vifungu akitumia viakifishi lengwa ipasavyo.Mtaala wa KICD (2024) uk 5; DaftariInsha fupi
411.4.1 Aina za ManenoKufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kueleza maana za nomino na vitenzi.Kwa nini ni muhimu kujifunza aina za maneno?Mwanafunzi aelekezwe kueleza maana za nomino na vitenzi na kutaja mifano.Mtaala wa KICD (2024) uk 7; Chati ya manenoMaswali na Majibu
2Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kueleza maana za viwakilishi na vivumishi.Mwanafunzi aelekezwe kueleza maana za viwakilishi na vivumishi na kutaja mifano.Mtaala wa KICD (2024) uk 7; Kadi za manenoUchunguzi
3Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kutambua aina za maneno katika matini.Mwanafunzi aelekezwe kudondoa nomino, vitenzi, viwakilishi na vivumishi katika kundi la maneno au sentensi.Mtaala wa KICD (2024) uk 7; MatiniZoezi la Kuchagua

+ 27 more rows in the full document — purchase to unlock.

Full Complete Document Available Instant download link sent to your email & phone immediately on payment confirmation.
Curriculum CBC / CBE Kenya
Grade / Class Grade 10
Term Term 1
File Format DOCX (Editable)
Profesa Hub Quality Guarantee: Every resource is verified for curriculum accuracy, correct strand alignments, lesson breakdowns, and complete teacher guidelines.
Kenyan CBC Curriculum Aligned (KICD Compliant)

This document is professionally prepared and verified for Grade 10 (Senior Secondary) • Term 1.

Key Inquiry Questions
  • Competency-driven teacher inquiry models
  • Guiding questions for active learner engagement
  • Real-life problem-solving applications
Assessment Rubrics
  • Formative & summative assessment indicators
  • Performance levels (Exceeding, Meeting, Approaching)
  • Practical assessment task breakdowns
100% Fully Editable Print Ready & Clean Layout Instant Delivery via Email & WhatsApp