Schemes of Work
GRADE 10 Revised KISWAHILI SCHEMES OF WORK TERM 1
Live now:
2
people viewing this document
KES 40
Instant download
M-Pesa secured
No account needed
or
Have an account? Login to prefill your details
|
Paystack (Cards & More)
Complete your Grade 10
Other teachers who bought this also viewed these Grade 10 resources.
GRADE 10 PHYSICS NOTES FULL NOTES
GRADE 10 NOV and DEC HOLIDAY Assignment.
GRADE 10 CHEMISTRY NOTES TERM 1 2 And 3
OPENER GRADE 10 TERM 3 HIST & CITIZENSHIP
Document Details
Category:
Schemes of Work
Level:
Senior Secondary
Grade:
Grade 10
Term:
Term 1
Price:
KES 40
Format:
DOCX
Total Views:
0
Document Preview
Word Editable SamplePROFESA HUB SAMPLE
| Wiki | Kipindi | Mada Kuu | Mada ndogo | Matokeo maalum yanayotarajiwa | Shughuli za ujifunzaji | Maswali dadasi | Nyenzo | Mapendekezo ya tathmini | Maoni |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 | MIKONDO YA FURSA ZA AJIRAKusikiliza na kuzungumza | Ufahamu wa KusikilizaUjumbe na fani katika matini simulizi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya ujumbe na fani katika matini.kutabiri ujumbe wa matini simulizi kwa kuzingatia anwani.Kutathmini ujumbe wa matini simulizi kwa kuzingatia anwani. | Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kueleza maana ya ujumbe na fani katika matini.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kutabiri ujumbe wa matini simulizi kwa kuzingatia anwani | Je, unaposikiliza mtu akizungumza unafaa kufanya nini ili uupate ujumbe kiukamilifu? | Mgeni mwalikwaVifaa vya kidijitali Mti manenoKapu manenoVitabu mbalimbali | Kujibu maswaliMaigizoKutambua k.m. kwenye orodhaKuambatanisha maneno na majibuMijadalaMazungumzo | |
| 2 | Kusikiliza na kuzungumza | Ufahamu wa KusikilizaUjumbe na fani katika matini simulizi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:kusikiliza matini simulizi kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali.kutambua ujumbe katika matini simulizi aliyosikilizaKuchangamkia kushiriki katika mijadala ya miktadha mbalimbali. | Wanafunzi waweze kusikiliza matini simulizi kuhusu suala lengwa kutoka kwa mwalimu, mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kutambua ujumbe katika matini simulizi aliyosikiliza | Je, ni mambo gani unayozingatia ili kutambua ujumbe na fani katika matini simulizi unayosikiliza? | ChatiMichoro na pichaMgeni mwalikwaVifaa vya kidijitali Mti manenoKapu manenoVitabu mbalimbali | Kujibu maswaliMaigizoKutambua k.m. kwenye orodhaKuambatanisha maneno na majibuMijadalaMazungumzo | ||
| 3 | Kusikiliza na kuzungumza | Ufahamu wa KusikilizaUjumbe na fani katika matini simulizi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:Kusikiliza matini simulizi katika mtandao na kuchambua ujumbe na fani.Kuchambua vipengele vya fani (k.v. msuko au ploti, mandhari, wahusika na matumizi ya lugha) katika matini simulizi aliyosikiliza kuhusu suala lengwaKuchangamkia kuchambua ujumbe na fani katika ufahamu wa kusikiliza ili kukuza stadi ya kusikiliza. | Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kusikiliza matini simulizi katika mtandao na kuchambua ujumbe na fani.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kuchambua vipengele vya fani (k.v. msuko au ploti, mandhari, wahusika na matumizi ya lugha) katika matini simulizi aliyosikiliza kuhusu suala lengwa. | Je, unazingatiaa nini wakatiwa kusikilizana kuchangiamjadala? | ChatiMichoro na pichaMgeni mwalikwaVifaa vya kidijitali Mti manenoKapu manenoVitabu mbalimbali | Kujibu maswaliMaigizoKutambua k.m. kwenye orodhaKuambatanisha maneno na majibuMijadalaMazungumzo | ||
| 4 | Kusoma | Kusoma kwa UfasahaKifungu simulizi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha,Kusoma kifungu simulizi akizingatia matamshi bora.Kuchangamkia kujibu maswali ya ufahamu ili kukuza uelewa wa habari. | Wanafunzi wakiwa wawili wawili waweze kueleza maana ya kusoma kwa ufasaha.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kujadili na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha (k.v. matamshi bora, kiwango cha sauti, kasi ifaayo, kiimbo, viziada lugha | Je, unawezajekutambuamsamiatiuliopo katikakifungu Chasimulizi? | Tarakilishi/vipakatalishiKinasasautiRununuProjektaTarakilishi/vipakatalishiKinasasautiRununuKamusi mbalimbali | Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwaKujibu maswali k.m. katika ufahamuWanafunzi kufanyiana tathminiPotifolioShajara | ||
| 5 | Kusoma | Kusoma kwa UfasahaKifungu simulizi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:Kutazama na kusikiliza watu wanaosoma matini kwa ufasaha katika video na kujadili vipengele vya kusoma kwa ufasaha vinavyodhihirika.Kusoma kifungu simulizi akizingatia kiimbo na kiwango kifaacho cha sauti.Kuchangamkiakutumia msamiatialioutambua kwa usahihi katika utunziwa sentensi. | Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kutazama na kusikiliza watu wanaosoma matini kwa ufasaha katika video na kujadili vipengele vya kusoma kwa ufasaha vinavyodhihirika.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kusoma vifungu simulizi kuhusu suala lengwa kwenye vitabu, magazeti, majarida au kwenye kifaa cha kidijitali akizingatia matamshi bora, kasi ifaayo (maneno sahihi 120 kwa dakika), kiimbo, kiwango kifaacho cha sauti na viziada lugha akishirikiana na wenzake | Unahitaji kuzingatia nini ili uweze kusoma kifungu cha maelezo kwa ufasaha? | Tarakilishi/vipakatalishiKinasasautiRununuProjektaTarakilishi/vipakatalishiKinasasautiRununuKamusi mbalimbali | Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwaKujibu maswali k.m. katika ufahamuWanafunzi kufanyiana tathminiPotifolioShajara | ||
| 2 | 1 | Kusoma | Kusoma kwa UfasahaKifungu simulizi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:Kusoma kifungu simulizi akizingatia viziada lugha.Kutafiti vifungu zaidi vya maelezo katika mtandao salama na kuvisoma kwa kuzingatia vipengele vya kusoma kwa ufasaha.Kuchangamkia kusoma kifungu simulizi kwa kuzingatia vipengele vya kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano. | Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kusoma kifungu cha maelezo kwa ufasaha na kujirekodi kwenye kifaa cha kidijitali kisha awasambazie wenzake ili watoe maoni.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kutafiti vifungu zaidi vya maelezo katika mtandao salama na kuvisoma kwa kuzingatia vipengele vya kusoma kwa ufasaha. | Kusoma kifungu cha maelezo kwa ufasaha kuna umuhimu gani? | Tarakilishi/vipakatalishiKinasasautiRununuProjektaTarakilishi/vipakatalishiKinasasautiRununuKamusi mbalimbali | Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwaKujibu maswali k.m. katika ufahamuWanafunzi kufanyiana tathminiPotifolioShajara | |
| 2 | Kuandika | ViakifishiHerufi kubwa | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:Kueleza matumizi ya herufi kubwa katika matini.Kutambua herufi kubwa katika matini.Kutumia ipasavyo herufi kubwa katika matini.Kufurahia matumizi yafaayo ya herufi kubwa katika matini ili kufanikisha mawasiliano. | Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kueleza matumizi ya alama lengwa za uakifishi (herufi)Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kusakura mtandaoni na kusoma kuhusu matumizi ya herufi kubwa.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kuchopoa herufi kubwa, kwenye kapu maneno, mti maneno, chati, vitabu au katika kifaa cha kidijitali. | Je, herufi kubwa hutumiwawapi katikamaandishi? | ChatiMichoro na pichaMgeni mwalikwaVifaa vya kidijitali Vitabu mbalimbali | Wanafunzi kufanyiana tathminiPotifolioShajara | ||
| 3 | Kuandika | ViakifishiNukta | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:Kueleza matumizi ya nukta katika matini.Kutambua nukta katika matini,Kutumia ipasavyo nukta katika matini.Kufurahia matumizi yafaayo ya nukta katika matini ili kufanikisha mawasiliano. | Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kueleza matumizi ya alama lengwa za uakifishi (nukta)Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kusakura mtandaoni na kusoma kuhusu matumizi ya nukta.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kuchopoa nukta kwenye kapu maneno, mti maneno, chati, vitabu au katika kifaa cha kidijitali. | Je, nukta hutumiwawapi katikamaandishi? | ChatiMichoro na pichaMgeni mwalikwaVifaa vya kidijitali Vitabu mbalimbali | Wanafunzi kufanyiana tathminiPotifolioShajara | ||
| 4 | Kuandika | ViakifishiKipumuo | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:Kueleza matumizi ya kipumuo katika matini.Kutambua kipumuo katika matini.Kutumia ipasavyo kipumuo katika matini.Kufurahia matumizi yafaayo ya kipumuo katika matini ili kufanikisha mawasiliano. | Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kueleza matumizi ya alama lengwa za uakifishi (kipumuo)Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kusakura mtandaoni na kusoma kuhusu matumizi ya kipumuo.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze Kuchopoa kipumuo kwenye kapu maneno, mti maneno, chati, vitabu au katika kifaa cha kidijitali | Je, kipumuo hutumiwawapi katikamaandishi? | ChatiMichoro na pichaMgeni mwalikwaVifaa vya kidijitali Vitabu mbalimbali | Wanafunzi kufanyiana tathminiPotifolioShajara | ||
| 5 | Kuandika | ViakifishiAlama za mtajo | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:Kueleza matumizi ya alama za mtajo katika matini.Kutambua alama za mtajo katika matini,Kutumia ipasavyo alama za mtajo katika matini,Kufurahia matumizi yafaayo ya alama za mtajo katika matini ili kufanikisha mawasiliano. | Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kueleza matumizi ya alama lengwa za uakifishi (alama za mtajo)Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kusakura mtandaoni na kusoma kuhusu matumizi ya alama za mtajo.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kuchopoa na alama za mtajo kwenye kapu maneno, mti maneno, chati, vitabu au katika kifaa cha kidijitali. | Je, alama za mtajohutumiwawapi katikamaandishi? | ChatiMichoro na pichaMgeni mwalikwaVifaa vya kidijitali Vitabu mbalimbali | Wanafunzi kufanyiana tathminiPotifolioShajara | ||
| 3 | 1 | Kuandika | Viakifishi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:Kuandika kwenye chati akishirikiana na wenzake matumizi ya alama lengwa za uakifishaji.Kutunga sentensi au vifungu akitumia alama lengwa.Kufurahia matumizi yafaayo ya alama za uakifishi katika matini ili kufanikisha mawasiliano. | Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kuandika kwenye chati akishirikiana na wenzake matumizi ya alama lengwa za uakifishaji (herufi kubwa, nukta, kipumuo na alama za mtajo) na kuitundika ukutani.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kutunga sentensi au vifungu akitumia alama lengwa (herufi kubwa, nukta,kipumuo na alama za mtajo) ipasavyo | Kwa nini tunatumia alama za uakifishi katika maandishi? | ChatiMichoro na pichaMgeni mwalikwaVifaa vya kidijitali Vitabu mbalimbali | Wanafunzi kufanyiana tathminiPotifolioShajara | |
| 2 | Matumizi ya Lugha | Aina za ManenoNomino | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya nomino.Kutambua nomino, katika matini.Kutumia nomino katika matini.Kuchangamkia matumizi yafaayo ya nomino katika matini mbalimbali. | Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kueleza maana ya nomino.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kutaja mifano ya nomino katika mazingira yake.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kudondoa nomino katika kundi la maneno, sentensi au vifungu | Je, nomino ni nini? | Kapu manenoMti manenoKadi manenoMichoroChatiMabangoNyenzo halisi | Kutambua k.m. kwenye orodhaKuambatanisha maneno lengwaKujaza mapengoKutunga sentensiKazi mradi | ||
| 3 | Matumizi ya Lugha | Aina za ManenoVitenzi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:kueleza maana ya vitenzi.kutambua vitenzi, katika matini.Kutumia vitenzi katika matini.Kuchangamkia matumizi yafaayo ya vitenzi katikamatini mbalimbali. | Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kueleza maana ya vitenzi.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kutaja mifano ya vitenzi katika mazingira yake.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kudondoa vitenzi katika kundi la maneno, sentensi au vifungu. | Je, vitenzi ni nini? | Kapu manenoMti manenoKadi manenoPicha za vitu mbalimbaliMichoroChatiMabangoNyenzo halisi | Kutambua k.m. kwenye orodhaKuambatanisha maneno lengwaKujaza mapengoKutunga sentensiKazi mradi | ||
| 4 | Matumizi ya Lugha | Aina za ManenoViwakilishi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya viwakilishi.Kutambua viwakilishi katika matini.Kutumia viwakilishi katika matini.Kuchangamkiamatumizi yafaayo ya viwakilishi katikamatini mbalimbali. | Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kueleza maana za viwakilishi.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kutaja mifano ya viwakilishi katika mazingira yake.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kudondoa viwakilishi katika kundi la maneno, sentensi au vifungu | Je, viwakilishi ni nini? | Kapu manenoMti manenoKadi manenoPicha za vitu mbalimbaliMabangoNyenzo halisi | Kutambua k.m. kwenye orodhaKuambatanisha maneno lengwaKujaza mapengoKutunga sentensiKazi mradi | ||
| 5 | Matumizi ya Lugha | Aina za ManenoVivumishi | Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya vivumishi.Kutambua vivumishi katika matini.Kutumia vivumishi katika matini.Kuchangamkiamatumizi yafaayo ya vivumishi katikamatini mbalimbali. | Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kueleza maana za vivumishi.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kutaja mifano ya vivumishi katika mazingira yake.Wakiwa katika vikundi wanafunzi waweze kudondoa vivumishi, katika kundi la maneno, sentensi au vifungu. | Je, vivumishi ni nini? | Kapu manenoMti manenoKadi manenoPicha za vitu mbalimbaliMabangoNyenzo halisi | Kutambua k.m. kwenye orodhaKuambatanisha maneno lengwaKujaza mapengoKutunga sentensiKazi mradi |
+ 38 more rows in the full document — purchase to unlock.
Curriculum
CBC / CBE Kenya
Grade / Class
Grade 10
Term
Term 1
File Format
DOCX (Editable)
Profesa Hub Quality Guarantee: Every resource is verified for curriculum accuracy, correct strand alignments, lesson breakdowns, and complete teacher guidelines.
Kenyan CBC Curriculum Aligned (KICD Compliant)
This document is professionally prepared and verified for Grade 10 (Senior Secondary) • Term 1.
Key Inquiry Questions
- Competency-driven teacher inquiry models
- Guiding questions for active learner engagement
- Real-life problem-solving applications
Assessment Rubrics
- Formative & summative assessment indicators
- Performance levels (Exceeding, Meeting, Approaching)
- Practical assessment task breakdowns
100% Fully Editable
Print Ready & Clean Layout
Instant Delivery via Email & WhatsApp
